SCCULT (19992) YAPATA BODI YA UONGOZI MPYA

Chama kikuu cha Ushirika wa akiba na Mikopo Tanzania kimepata BODI Mpya ya Uongozi itakayoongoza kwa miaka mitatu (3). Bodi hiyo ilichaguliwa katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa 21 uliofanyika Mkoani Iringa katika Ukumbi wa Halmashauri Iringa (SIASA NI KILIMO) zoezi hilo lilisimamiwa na Tume ya Maendeleo ya Ushirika chini ya Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mrajis wa vyama vya Ushirika Bw. TITO B. HAULE

Wajumbe wa Bodi Mpya ya SCCULT (1992) LTD ni:


1. DR. GERVAS MACHIMU kutoka Wazalendo SACCOS - Mwenyekiti wa Bodi
2. M/S SOMOE ISMAIL NGUHWE kutoka Tanesco SACCOS- Makamu Mwenyekiti wa Bodi
3. DR.ENG. CUTHBERT MSUYA kutoka Mlimani SACCOS-Mjumbe
4. MR. JOSEPH HODARI LIKAPITE kutoka Ngome SACCOS- Mjumbe
5. MR. TUMAINI WILFRED MBONEA kutoka Muhimbili SACCOS- Mjumbe


 
 
 
 
 
Visitor Statistics
» 1 Online
» 4 Today
» 13 Yesterday
» 17 Week
» 203 Month
» 846 Year
» 1920 Total
Record: 30 (08.02.2019)
Free PHP Counter