RECENT NEWS

SCCULT (1992) YAPATA BODI YA UONGOZI MPYA.

Chama kikuu cha Ushirika wa akiba na Mikopo Tanzania kimepata BODI Mpya ya Uongozi itakayoongoza kwa miaka mitatu (3). Bodi hiyo ilichaguliwa katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa 21 uliofanyika Mkoani Iringa katika Ukumbi wa Halmashauri Iringa.


 
 
 
 
 
Visitor Statistics
» 1 Online
» 27 Today
» 36 Yesterday
» 80 Week
» 336 Month
» 2031 Year
» 3105 Total
Record: 75 (28.04.2019)
Free PHP Counter